Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Kilichoonesha kuwa viongozi wa Simba ni sawa na watu wanaotembea wakiwa matako wazi ni kuwa juzi walituhakikishia kuwa Mwalimu tutakuwa naye msimu unatarajiwa kuanza.

Ewe mwanasimba mwenzangu usiwaamini hawa viongozi wetu malofa kweli kweli!
Hii ni ishara kwamba simba bado kuna kirusi...

Kuna mtu alitoa taarifa kwa Yanga juu ya mienendo yetu kwa mchezaji(Mwalimu)

Yanga hawajakurupuka.
 
Back
Top Bottom