Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.

Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?

Marital status yake?

Je, ni mlipukaji?
 
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
 
Kumbe ana kisomo chake.

Basi Kibaha tumepata jembe pengi e atatusaidia kutoondolea kero za barabara za ndani maana kibaha Tc barabara za ndani zenye kiwango cha lami ni chache mnoooo.
 
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Full package!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafir lakin sioni CV yake ..

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info....

Je na yy ni Uvccm kalamba shavu la uteuzi ?

Marital status yake ?

Je ni.mlipukaji ?
Ana mdomo careless na vinasaba vya Usabayasabaya! Ni bora liende tu, sio creative!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Kibaha na Pwani kwa ujumla hawaja wahi kupata kiongozi mwenye impact tangu Sarungi aondoke.
Mfano huyu mkuu wa mkoa aliyeondoka Ndikilo ameifanyia Nini Pwani?
Wamejenga barabara za lami ambazo hazipiti watu, pikipiki Wala magari. Zile barabara maeneo ya kituo Cha polisi wilaya wakati barabara ya Soga iliyo busy kuliko barabara ya segera Chalinze Ni ya vumbi.
Niambia Mwantumu ameifanyia Nini Pwani.?
Kibaha town mpaka leo majengo Ni shacks hakuna nyumba ya maana.
Hilo jengola TRA walilojengewa hata wenyewe wameshindwa kulihamia. Utafikirililijengwa na watoto wa nursery school. TRA wameona Bora waendelee kupanga jengo la NSSF kuliko kuhatarisha Maisha ya mlipakodi
 
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Kanaropokaga ropokaga na ninachojua ni kamzigo ka Bashite
 
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Single mother or just single.,...!
 
Miaka inaenda mbio sana .....kuna wakati alikuwa anamhifadhi PM aliepita awamu 4 hapo alikuwa ana nguvu sana....ila muda unapita sana anakuwa kawaida ......ingawa analindwa kwa vimemo kwa Mama...usishangae bwana yule akawa anajongea sana Kibaha hapo....
 
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Du mkuu unamfuatilia balaa
 
Back
Top Bottom