Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

Kumbe ana kisomo chake.

Basi Kibaha tumepata jembe pengi e atatusaidia kutoondolea kero za barabara za ndani maana kibaha Tc barabara za ndani zenye kiwango cha lami ni chache mnoooo.
uliza watu wa kigamboni kwanza.. kawafanyia nini
 
Kumridhisha mwanadamu ni jambo gumu sana, hizo barabara zisigwe jengwa mngelalamika tena. Hapa unauliza mkuu wa mkoa ameifanyia nini pwani, jibu ni amejenga barabara za lami
Nakuuliza wewe hapo umeifanyia nini pwani?
Mimi Nina kiwanda Cha nguo Nina vyerahani vitatu. Viwili nimeajiri vijana wawili kila mmoja ana mke
 
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.

Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?

Marital status yake?

Je, ni mlipukaji?
Ni mchapakazi alikua DC wa kigamboni
 
Kwako hilo ndio creativity?! dah Nji hii ina safari ndefu kufika!
Kwako hicho sio kitu kipya? Kweli "Nji" lazima iwe na safari ndefu!! Watangulizi hawakuwepo hapo mwanzo? Anyway ni swala la mtazamo
 
Back
Top Bottom