Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Ni PA au MBA?Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Anajiamini sana huyu mdada mwenye paja nene na la kuvutia. Muda mwingine anavaa sketi yenye mpasuo kiasi cha kuwatia kiwewe wale wapenda sufi.
Master yake alimalizia Mzumbe pale Upanga, na msimamizi wa Dissertation yake alikuwa Prof. Barongo Afisa Kipenyo Mwandamizi yule mzee