Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Watu wafukunyuku hatari 🔥 🔥Hoteli yao ilikuwa kigamboni kule ndani ndani .....utashangaa migari ikulu 3 inakimbilia kule ujue mtu anaenda kupewa dose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wafukunyuku hatari 🔥 🔥Hoteli yao ilikuwa kigamboni kule ndani ndani .....utashangaa migari ikulu 3 inakimbilia kule ujue mtu anaenda kupewa dose
Watu wanama pandora box kibaoWatu wafukunyuku hatari 🔥 🔥
Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Mzigo anapiga bali hatumi makombora ya kuleta kiumbe-na mimi nasikia!Mbona nasikiaga Bashite hawezi kula mzigo?
Mkoa wa Pwani ni mgumu Sana, wilaya zake hujazwa watumishi wa kike, BAGAMOYO mwanamke, mkuranga mwanamke, kibaha mwanamke, safar hii kisarawe imepewa mbaba.Mkoa hauna maendeleo, Wananchi wake hawzjitolei kama ilivyo mkoani.Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.
Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.
Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?
Marital status yake?
Je, ni mlipukaji?
Uzi bila ya picha hauwezi kueleweka kabisa
Bashite kama bashite,usimdharau MTU aisee.Kanaropokaga ropokaga na ninachojua ni kamzigo ka Bashite
Kuna Mteule Wangu Mmoja Hapa Kazi Yake Kutongoza Wake Za Watu. Tumemuonya Haonyeki."Ndugu zangu wazaramo wa kisarawe mnaniangushaaaaa , Dc yupo hapaa na hajaolewaaah" the late JPM
Prof barongo hamna kitu yye anawaandikia wanafunzi dissertations anakukabidhi kitabu cheuseNi PA au MBA?
Anajiamini sana huyu mdada mwenye paja nene na la kuvutia. Muda mwingine anavaa sketi yenye mpasuo kiasi cha kuwatia kiwewe wale wapenda sufi.
Master yake alimalizia Mzumbe pale Upanga, na msimamizi wa Dissertation yake alikuwa Prof. Barongo Afisa Kipenyo Mwandamizi yule mzee
Bro hapa Afrika hususani Tanzania ukitumia nguvu nyingi kwenye elimu utaambulia maumivu makali.Prof barongo hamna kitu yye anawaandikia wanafunzi dissertations anakukabidhi kitabu cheuse
Pesa yako tu. Hata huyu alifanyiwa ninauhakika 100%
Wengi hawajui iyo kitu inaitwa RESEARCH CONSULTANCY sio kosa kufanya consultancyBro hapa Afrika hususani Tanzania ukitumia nguvu nyingi kwenye elimu utaambulia maumivu makali.
Ukiweza kuangalizia angalizia,ukipata wa kukuandikia poa tu. Maana nchi inaboa sana hii, yaani very hopeless!
Wajinga wajinga ndo wanapeta tena kitapelitapeli na kihuni we unakomaa lakini unaambulia maumivu kila kukicha; kesho yake unawakuta Masai wanakula Robertson we uko Mbande ukiishi kwa Matumaini.
Mfano mdogi tu,fatilia zoezi la upandishwaji madaraja-stupidy cattle
Kwa teuzi ndani ya ccm hazihitaji sana cvNikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.
Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.
Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?
Marital status yake?
Je, ni mlipukaji?
KabisaWengi hawajui iyo kitu inaitwa RESEARCH CONSULTANCY sio kosa kufanya consultancy
Sara Msafiri, once CHRAGG employee, dah watu wanachimba sana mambo ya watu.Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.
Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.
Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?
Marital status yake?
Je, ni mlipukaji?
Binafsi nimeshangaa kusikia ni msomi wa PA, nikifuatilia speech zake chache hazisadifu uhalisiaIla kichwani ni mwepesi sana mithili ya karatasi
Kwako mwalimu Kashasha, creativity ni kitu kipya?Kwako hicho sio kitu kipya? Kweli "Nji" lazima iwe na safari ndefu!! Watangulizi hawakuwepo hapo mwanzo? Anyway ni swala la mtazamo
Research consultancy kwenye academic work? Hi ni illegal na ukikamatwa ni kesi kubwa. Nijuavyo mwalimu unamsupervise mwanafunzi sio kumwandikia.Wengi hawajui iyo kitu inaitwa RESEARCH CONSULTANCY sio kosa kufanya consultancy
Sio. Kuandikiwa consultancy ni kitu tofauti na kuandikiwa ....Research consultancy kwenye academic work? Hi ni illegal na ukikamatwa ni kesi kubwa. Nijuavyo mwalimu unamsupervise mwanafunzi sio kumwandikia.