Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Nimekuwa nikimfatilia toka anaanza kupewa wilaya ya Hanang huko Manyara na sio Mbulu ,but outputs ni kidogo sana na creativity hakuna kitu hapo.Muache aendelee kubebwa tu lakini pia kwenye maisha omba bahati.Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app