luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Yule jamaa mweusi mwenye mbavu neneilisemwa Ni mke wa mmoja wa wale frontier wa Ulinzi wa Magu
Duuuuh yule yupo kauzu San daaaah.Yule jamaa mweusi mwenye mbavu nene
Kumbe ana kisomo chake.Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
"Ndugu zangu wazaramo wa kisarawe mnaniangushaaaaa , Dc yupo hapaa na hajaolewaaah" the late JPMMarital status ya nini wew? Unataka kumwoa? Mke ya mtu huyo
CV yake ipo mtandaoni
Full package!Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Ana mdomo careless na vinasaba vya Usabayasabaya! Ni bora liende tu, sio creative!Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafir lakin sioni CV yake ..
Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info....
Je na yy ni Uvccm kalamba shavu la uteuzi ?
Marital status yake ?
Je ni.mlipukaji ?
Kanaropokaga ropokaga na ninachojua ni kamzigo ka BashiteAlikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Kumbe Kibaha nako kunaongozwa na Chadema ndiyo maana CCM/Magu hakujali hizo barabara kama ilivyokuwa kwa Kibamba na Karatu.Kumbe ana kisomo chake
Basi Kibaha tumepata jembe pengi e atatusaidia kutoondolea kero za barabara za ndani maana kibaha Tc barabara za ndani zenye kiwango cha lami ni chache mnoooo
Single mother or just single.,...!Alikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.
Du mkuu unamfuatilia balaaAlikuwa mtumishi Tume ya Haki za binadamu kama Investigation officer, then akaacha kazi akaingia kwenye siasa mara akateuliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne, awamu ya tano akawa DC mbulu then kigamboni , now kibaha. Ana masters ya PA. Mpaka anaacha kazi anaingia bungeni alikuwa single.