Apo juu wanasema prof alimwandikia huyu dem hiyo dissertation. Hii kisheria haikubaliki. Si zungumzii plagiarism. Sasa kama mwalimu unamwandikia mwanafunzi utafiti so nini mana ya wewe kusoma.? Kwenye academics hii research consultancy haihusu wanafunzi inahusu taasisi tofauti kama serikali na mashirika mengineSio. Kuandikiwa consultancy ni kitu tofauti na kuandikiwa ....
Ku plagiarize ndio illegal, consultancy ni recommendable
Sasa wana uthibitisho kwa maana ya ushahidi ?Apo juu wanasema prof alimwandikia huyu dem hiyo dissertation. Hii kisheria haikubaliki. Si zungumzii plagiarism. Sasa kama mwalimu unamwandikia mwanafunzi utafiti so nini mana ya wewe kusoma.? Kwenye academics hii research consultancy haihusu wanafunzi inahusu taasisi tofauti kama serikali na mashirika mengine
Na ndo nilikuwa nasema incase ni kweli na ni prof. Alifanya hivo basi shule yetu inashida. Sasa tukichanganya kumwandikia mwanafunzi kama ndio research consultancy basi tumeisha.Sasa wana uthibitisho kwa maana ya ushahidi ?
Hizo ni siasa tu za kutaka kumchafua mtu
Na izo research za social nyingi ni zina fanana hamna jipya kabisaaNa ndo nilikuwa nasema incase ni kweli na ni prof. Alifanya hivo basi shule yetu inashida. Sasa tukichanganya kumwandikia mwanafunzi kama ndio research consultancy basi tumeisha.
neno "ubunifu" linakupa maana ipi ? kipya, au kuboresha?Kwako mwalimu Kashasha, creativity ni kitu kipya?
Sitaki kuchukuwa creativity Kwa tafsiri ya ubunifu ambayo kimsingi naona ni nyepesi Sana kulinganisha na uzito wa Neno lenyewe. Lakini pia tukirudi kwenye tafsiri yako ambayo ni ubunifu, ubunifu siyo lazima uje na Jambo jipya, Ila unaweza kuchukuwa Jambo ambalo lipo au lilikiwepo na ukaliweka kwenye uhalisia Kwa maana ya kulifanyia kazi.neno "ubunifu" linakupa maana ipi ? kipya, au kuboresha?