Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Natafuta sarafu za zamani zenye tundu katikati kuanzia mwaka 1918 kurudi nyuma. Aliye nazo anaweza kunitumia picha Whatsapp 0768734611 kwa maelewano. Pia napatikana kwa 0786817145
heller.jpg
 
NINAZO KAMA 30 HV, UNANUNUA KWA SH NGAPI? KWA SABABU HUWA TUNAZTUMIA KTK MATAMBIKO MZEE
Mimi sijui hayo mambo ya matambiko mzee. Nazitumia kwa kuongeza kwenye collection na pia kuwaonyesha watalii wetu ( I am a tour operator and travel guide) tunapowaeleza historia ya nci na kama tunazo za kutosha huwa tunawapa kama zawadi
 
Ninazo unataka za nini ??!
Naweka kwenye collection na nazitumia kama nyenzo ya kuwaelezea watalii wetu kutoka Ujerumani historia ya nchi na pia nikiwa nazo za kutosha huwa nawagawia kama zawadi (souvenir)
 
Mimi sijui hayo mambo ya matambiko mzee. Nazitumia kwa kuongeza kwenye collection na pia kuwaonyesha watalii wetu ( I am a tour operator and travel guide) tunapowaeleza historia ya nci na kama tunazo za kutosha huwa tunawapa kama zawadi
Sijaelewa. Yaan unataka aliyekuwa nazo akuuzie ili wewe ukagawe bure?
 
Haswaa! Kijerumani zinaitwa Heller. 100 Heller = 1 Rupie
So kuhawa
Sijaelewa. Yaan unataka aliyekuwa nazo akuuzie ili wewe ukagawe bure?
Si kugawa bure. Unapoandaa package ya mtalii you put into consideration vitu vyote unavyompatia kama zawadi. In actual sense everything is paid japo haiko kwenye travel package yenyewe.
 
Viko vitu vingi tu tunawapa watalii bure kama sunset drink, kofia, fulana,shuka za wamasai, necklaces n.k kama surprise but we actually quote these expenses tunapoandaa safari.
 
Poa tufanye nimekuelewa basi. Maana matumizi ya hizo sarafu huku bongo ni kwa ajili ya matumizi mengine
 
Back
Top Bottom