sina shida ya kuongeza posts niko JF toka inaanzisha kipindi hicho inaitwa Jambo Forum. Kazi ninayo tena nzuri sana ila situmii mashilingi yako yenye matobo nina shule ya maana hapa nilipo ofisini kwangu nakula kiyoyozi nikiangalia chini ya jengo naona bandari ya DSM yote, huku upande mwingine naiona mpk Ikulu na pia naiona bahari toka meli inapotokea mpk inapotia nanga. Kwa chini ya jengo letu kuna wizara nyeti sana na pia kuna kashule kana jina la kule mjengoni Dom na jengo lina pacha mwenzake. Sijui umeelewa napotafutia ugali wa kila siku?