Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Maelezo yako mazuri japo siwezi kuhakiki na sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa nini umekuwa suspicious na Mimi? Nina hundreds ya hizo coins tayari. Kama ningekuwa nataka za uchawi zingenitosha na kubaki
Anyway usikonde nilikuwa nauchangamsha uzi wako tu. Nachokusifu ni kwamba hau-panic kirahisi ungenitukana tu ningekulima BAN mimi mwenyewe ha ha ha
 
Uko sawa. Kadiri miaka inavyokwenda na sarafu ikitoka kwenye mzunguko na kuwa adimu ( rare) inakuwa na thamani
Sasa kama hizi unatafuta wewe anaenda kufanyia kitu gani mkuu?
 
Natafuta sarafu za zamani zenye tundu katikati kuanzia mwaka 1918 kurudi nyuma. Aliye nazo anaweza kunitumia picha Whatsapp 0768734611 kwa maelewano. Pia napatikana kwa 0786817145
View attachment 722985
kipindi cha nyuma jamaa alikuwa nazo nyingi sana alikuwa anasema zitataftwa badae kwa gharama kubwa , bahati mbaya alifariki hata sijui ziko wapi
 
Neno Hela,linatokana na neno la Kijerumani wakati wa ukoloni.
Kulikuwepo na "German Heller" ambayo ilikuwa katika mfumo wa sarafu (coin)

Hata hivyo wavumbuzi wa sarafu ni toka miaka karibu 3000-6000 kabla ya Kristo(BC)
Na ilianza kutumika na wafalme katika eneo ambalo leo ni kaskazini mwa mashariki ya kati na sehemu za Ugiriki ya zamani.

Hata hivyo wachina wao walikuwa wameanza kutumia sarafu zao karibia miaka 11,000 kabla ya Kristo.
 
Huu utapeli umeanza tena? Utawapata waliozaliwa 1990s, kwangu muhenga hakuna kitu mtakachoambulia.
 
kipindi cha nyuma jamaa alikuwa nazo nyingi sana alikuwa anasema zitataftwa badae kwa gharama kubwa , bahati mbaya alifariki hata sijui ziko wapi
Hizo za matundu hazina bei.Nazitumia for educational purpose tu. Zenye being no kama Tabora pound iliyotengenezwa kwa 75% Gold.
 
siwezi kukaa kimya wakati kuna watu wataibiwa muda si mrefu.
Wataibiwa kivipi mkuu na jamaa kaweka namba yake na kama unazo atazinunua kwa bei mtakayopatana?

Labda uweke maelezo yako ili ueleweke kwanini unasema ni utapeli?
 
Naogopa watu wasiojulikana.Asante kwa moyo wako ndugu yangu,mungu akuongezee maana nimeipokea tayari kwenye ulimwengu wa roho..
asante sana ngoja nishuke chini nimpe hiyo hela mtu yoyote mwenye shida kwa niaba yako. Ubarikiwe sana
 
Wataibiwa kivipi mkuu na jamaa kaweka namba yake na kama unazo atazinunua kwa bei mtakayopatana?

Labda uweke maelezo yako ili ueleweke kwanini unasema ni utapeli?

Mkuu labda nikufafanulie namna watu wanavyoibiwa. Huu mchezo wa kusaka hela za kizamani ulikuwepo miaka ya mwisho ya 80 hadi mwishoni mwa miaka ya 90 ambapo watu walipita vijijini na mijini kusaka hela hizo.

Kuna aina mbili ya kuibiwa;

Aina ya kwanza ni Tapeli (mfano wa huyu anayezitafuta hizo hela) kuja kwako na kuzitafuta hizo na anakupa specifications kabisa ni aina gani anaitaka na bei atakayokupa, tuseme labda kila sarafu aina fulani atakupa milioni mbili, wewe unaanza kuisaka, unaweza kuipata kama ile ila jamaa atafanya ujanja kuikataa, halafu anakuja tapeli mwingine (mwenzake na tapeli anayetafuta hizo sarafu) anakuja kwako bila wewe kujua kuwa wapo pamoja, anakuja na baada ya kumpa specifications za zile sarafu yule mnunuzi (tapeli namba moja) anakwambia hizo ndio anazitaka, wewe unazinunua labda kw amilioni moja kwa kila sarafu ukijua utapiga milioni moja faida kwa kila sarafu, hapo tuseme safaru ziko tano unatoa milioni tano yako kuzinunua, unawasiliana na mnunuzi aje kuchukua mzigo tayari umeshapata, jamaa atatoa visingizio kibao mara nakuja wiki ijayo mara vile mara hivi mara hutomsikia tena, hapo unakuwa umepigwa.

Aina ya pili ya utapeli wa hizi sarafu, mfano wakikuona una pesa nyingi basi ukishanunua mzigo, wanakwambia uwaletee ofisini kwao wazipime, ukifika ofisni kwao watajifanya kuongea na mizimu ambapo huwa ni vibuyu vinaongea (vibuyu huwa vimeunganishwa na bomba kwa chini bila wewe kujua), mizimu inasema kuwa kutokana na uchunguzi wao inabidi hizo sarafu ubaki nazo ili mizimu ikutajirishe (nani asiyetaka kutajirika?), hapo wanakuingiza mkenge, wanakufanyia mazingaombwe flani wanaziweka kwenye sanduku hizo sarafu wanafanya uganga (utapeli) halafu mapesa yanajaa sanduku ambapo unaambwa kuwa hizo pesa ni bilioni moja ila utakabidhiwa iwapo utaleta carpeti toka Makkah pamoja na kamba aliyojinyongea mtu. Kwakuwa hutoweza kuvipata, basi masharti ni kuleta cash si chini ya milioni 10 kuja kugomboa hizo pesa bilioni moja. Ukileta utaambiwa sasa kafanye mapenzi na mtoto wa miaka miwili ukimpizia leta sha**wa hapa ili pesa zisije kupotea. Ukienda kubaka ndio unakamatwa na kuishia jela wajanja wanaendelea kuwatafuta wengine maana zile sarafu zitakuwa zimewarudia tayari
 
Mkuu hayo unayoongea nayajua siku nyingi. Mimi sipo hapa kwa shughuli hivyo. Hizi sarafu ninazotafuta hazizidi hata sh elfu 20 kwa coin yenye quality nzuri. Kama unaongelea utapeli wa Rupia Mimi siko huko. Na hii no moja tu ya vitu tunavyotumia kuboresha utalii maana utalii so kuangalia wanyama tu. Tunaonyesha hats sample ya madini yanayopatikana Tanzania na kuwapatia wageni vipande vidogo kama zawadi. Tunawapa kofia, fulana, shuka za kimasai, shanga n.k. Mbona hivi vingine havikupi shida imekuwaje coins have raised your eyebrows?
 
Kama kwa ajili ya kumbukumbu sawa, ila na mie nimetoa angalizo kwa wadau angalau wafunguke macho kuwa wakienda hovyo wanaweza kulia
 
Mkuu labda nikufafanulie namna watu wanavyoibiwa. Huu mchezo wa kusaka hela za kizamani ulikuwepo miaka ya mwisho ya 80 hadi mwishoni mwa miaka ya 90 ambapo watu walipita vijijini na mijini kusaka hela hizo.

Kuna aina mbili ya kuibiwa;

Aina ya kwanza ni Tapeli (mfano wa huyu anayezitafuta hizo hela) kuja kwako na kuzitafuta hizo na anakupa specifications kabisa ni aina gani anaitaka na bei atakayokupa, tuseme labda kila sarafu aina fulani atakupa milioni mbili, wewe unaanza kuisaka, unaweza kuipata kama ile ila jamaa atafanya ujanja kuikataa, halafu anakuja tapeli mwingine (mwenzake na tapeli anayetafuta hizo sarafu) anakuja kwako bila wewe kujua kuwa wapo pamoja, anakuja na baada ya kumpa specifications za zile sarafu yule mnunuzi (tapeli namba moja) anakwambia hizo ndio anazitaka, wewe unazinunua labda kw amilioni moja kwa kila sarafu ukijua utapiga milioni moja faida kwa kila sarafu, hapo tuseme safaru ziko tano unatoa milioni tano yako kuzinunua, unawasiliana na mnunuzi aje kuchukua mzigo tayari umeshapata, jamaa atatoa visingizio kibao mara nakuja wiki ijayo mara vile mara hivi mara hutomsikia tena, hapo unakuwa umepigwa.

Aina ya pili ya utapeli wa hizi sarafu, mfano wakikuona una pesa nyingi basi ukishanunua mzigo, wanakwambia uwaletee ofisini kwao wazipime, ukifika ofisni kwao watajifanya kuongea na mizimu ambapo huwa ni vibuyu vinaongea (vibuyu huwa vimeunganishwa na bomba kwa chini bila wewe kujua), mizimu inasema kuwa kutokana na uchunguzi wao inabidi hizo sarafu ubaki nazo ili mizimu ikutajirishe (nani asiyetaka kutajirika?), hapo wanakuingiza mkenge, wanakufanyia mazingaombwe flani wanaziweka kwenye sanduku hizo sarafu wanafanya uganga (utapeli) halafu mapesa yanajaa sanduku ambapo unaambwa kuwa hizo pesa ni bilioni moja ila utakabidhiwa iwapo utaleta carpeti toka Makkah pamoja na kamba aliyojinyongea mtu. Kwakuwa hutoweza kuvipata, basi masharti ni kuleta cash si chini ya milioni 10 kuja kugomboa hizo pesa bilioni moja. Ukileta utaambiwa sasa kafanye mapenzi na mtoto wa miaka miwili ukimpizia leta sha**wa hapa ili pesa zisije kupotea. Ukienda kubaka ndio unakamatwa na kuishia jela wajanja wanaendelea kuwatafuta wengine maana zile sarafu zitakuwa zimewarudia tayari

Aseeee! Watu wanapiga sana. Kwanini wasitumie akili zao kwa njia halali.
 
Kama kwa ajili ya kumbukumbu sawa, ila na mie nimetoa angalizo kwa wadau angalau wafunguke macho kuwa wakienda hovyo wanaweza kulia
Hilo nalikubali in vizuri maana wengi no wageni was haya msmbo. Hats Mimi nilishatapeliwa kipindi cha nyuma. Ila kama mtu anazo tunakubaliana nampa cash take basi tunamaliza.
 
Back
Top Bottom