Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Naomba usome naelezo niliyotoa kwa wengine uelewe nazitafuta kwa shughuli gani usikurupuke tu kutoa comments
Nimesoma sana ulivyosema ila unatuzuga tu umekaa kichawi chawi sana we mjamaa
 
Naona unataka tu kuongeza post count au huna kazi ya kufanya
sina shida ya kuongeza posts niko JF toka inaanzisha kipindi hicho inaitwa Jambo Forum. Kazi ninayo tena nzuri sana ila situmii mashilingi yako yenye matobo nina shule ya maana hapa nilipo ofisini kwangu nakula kiyoyozi nikiangalia chini ya jengo naona bandari ya DSM yote, huku upande mwingine naiona mpk Ikulu na pia naiona bahari toka meli inapotokea mpk inapotia nanga. Kwa chini ya jengo letu kuna wizara nyeti sana na pia kuna kashule kana jina la kule mjengoni Dom na jengo lina pacha mwenzake. Sijui umeelewa napotafutia ugali wa kila siku?
 
Nitumie buku mpesa....wasalimie biotii..
 
Maelezo yako mazuri japo siwezi kuhakiki na sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa nini umekuwa suspicious na Mimi? Nina hundreds ya hizo coins tayari. Kama ningekuwa nataka za uchawi zingenitosha na kubaki
 
tumia njia hiyohiyo uliopatia hizo, huku sidhani kama utapata
 
Ata hizi za sasa kumbe badae zitakujakua dili
 
Nil
tumia njia hiyohiyo uliopatia hizo, huku sidhani kama utapata
Niltumia mitandao hii hii kuzipata. Hats Leo kuna MTU amesoma hapa atanitumia kesho. Huwa naamini kuna watu serious humu. Wenye mizaha yao huwa nawapuuzia tu
 
Back
Top Bottom