Sarafu za zamani zenye tundu zinatakiwa

Boss nimekusoma kumbe upo utumishi!
 
Ninazo boss, zipo kijijini kwa sasa nipe bei nikiridhka nakuuzia
 
Nenda pale bagamoyo kwny soko la samaki kuna huyu jamaa huwa anauza pesa za zamani utapata tu
 
Nashukuru sana mkuu. Japo nipo Arusha itabidi nitafute namna ya kuwasiliana nae au kama ukipata namba yake nitaomba unitumie mkuu.
Poa mkuu nitaenda huko kesho nikimkuta nitachukua no yake
 
Duh. Funza dume
 
Mimi sijui hayo mambo ya matambiko mzee. Nazitumia kwa kuongeza kwenye collection na pia kuwaonyesha watalii wetu ( I am a tour operator and travel guide) tunapowaeleza historia ya nci na kama tunazo za kutosha huwa tunawapa kama zawadi
Mnawapa kama zawadi au wananunua mkuu
 
wadau hii ni sarafu ya nchi gani
 

Attachments

  • DSC_0123.JPG
    149.6 KB · Views: 75
  • DSC_0121.JPG
    164.7 KB · Views: 66
  • DSC_0122.JPG
    134.6 KB · Views: 73
Huu utapeli bado upo? Yaani inakuwa hivi huyo jamaa aliyetangaza ananunua anakuwa na sarafu hizo halafu atampa mwenzake atajitokeza kama vile anaziuza utaingia deal ili uje uziuze kwake halafu utakuta huyo jamaa anasema ameshaacha kuzinunua.yaani zinakufia mkononi.wakati mnakubaliana kwamba utamuuzia atakupa bei nzuri sana.yaa mara hata tatu ya ile bei ya yule jamaa aliyesema atakuuzia

Kuna jamaa aliliwa mtaji wote kwa kisa kama hiki
 
00 hizi kubwa kabla ya hizi mpya 15 shilingi laki na 50

nina 5000 hizi kubwa kabla ya hizi mpya 2 shilingi 10000

nina 2000 hizi kubwa kabla ya hizi mpya 1 shilingi 2000

nina 1000 hizi kubwa kabla ya hizi mpya 1 shilingi 1000
jumla =======163000
nipeni utaratibu ni bahasha yangu ya 2007 nimezikuta nipokilimanjaro now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…