Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Namfahamu mama Sara Simabaulanga alipo. Kwa taarifa yenu alishatoka jela siku nyingi mno na alikuja kuolewa na mzee Toroha Mohamed Toroha na sasa ni mtu mzima ni kama chotara hivi. Kwa sasa wanaishi Kawe mzimuni. Ukitaka data zaidi nitakuelekeza mpaka wanapoishi kwani nilikuwa mpangaji wa nyumba yao nao wakiishi hapo hapo na niliondoka hapo mwaka 2007. Pia kumbuka Mohamed Toroha ndiye aliyemsaidia Sara kukimbilia Uingereza na baadaye naye alikamatwa na magari yake kuleta Tanzania kwani yeye alikuwa akiishi Kenya.
Ha ha ha ha we mzee nyumba IPI, mimi nilikua moja ya vyumba vya uani pale kwenye nyumba yao waliyokua wakiishi na mzee Toroha, nakumbuka nilipewa mkataba una page nyingi kama kitabu kabla sijaingia pale ,na ilikua mwaka huohuo 2007,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinunua kiwanja Mbezi B. kikataifishwa na mlinzi, kakipiga na kukitapelia ile mbaya, mlinzi kajenga Bagamoyo, kiwanja bado kina mauza mauza mpaka leo...

Ni hatari kabisa.
 
Back
Top Bottom