Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais

Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-

1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?

2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?

3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?

4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?

5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
 
Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo

Mtazamo wangu
Angekuwa anatambulika kama rais angewekwa moja kwa moja kwenye ratiba ya kutoa neno na si hiyo ya ... Kama.....!
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais

Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-

1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?

2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?

3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?

4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?

5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo

View: https://www.facebook.com/share/v/1EMq652eSg/
 
Amefanya vizuri kutokuwataja cdm, maana viongozi wa serekali hii haramu wanapata shida sana wanaposikia cdm inataja, tena ikitajwa na RC ndio wanaumia ajabu.
 
Hueleweki!
Hata mimi sijaelewa hasa anataka kusema nini! Ila nina maoni haya: sisi wananchi wa Tanzania hatujui wajibu wetu kwenye kutaka kuongozwa na viongozi wa utashi wetu. Tunadhani kuwa sisi tunatakiwa kukaa kimya na tuaachie taasisi, wanaharakati, mataifa ya nje au jeshi kutuondolea viongozi wabovu, mafisadi na wauaji. Ndiyo maana kila jambo linalofanyika sasa hivi juu ya huu utawala wa Samia tunalaumu au kupongeza pale ambapo tunadhani tumesaidiwa au kusalitiwa.

Sisi tumekaa tunaangalia kama movie na kutaka wengine wafanye kazi badala yetu. Hli ni kosa kubwa. Ukweli mchungu ni kwamba mataifa ya nje au taasisi za ndani zitafanya kazi na uongozi uliopo, hata kama umetoka kwa shetani kama sisi wananchi hatuonyeshi kuukataa kwa vitendo. Mataifa ya nje yanajua kabisa kuwa Samia hakushinda na ameua raia lakini kwa vile wananchi tumetulia wao hawana nguvu ya kisheria ya kumkataa na wanapotaka kufanya mawasiliano na serikali, penda wasipende watawasiliana na ''kilichopo kwenye katiba'' ya nchi ili kusiwe na ombwe!
 
Kuna haja ya kuangalia haya mambo kwa macho manne.

Nilifuatilia hii sijui mnaita misa ya kumuaga askofu sikujua Father Kitime ni yupi ila nyie elimu ni silaha, elimu ni ngao, elimu ni njia huyu father kitaalamu amemdhalilisha sana Samia.

yaani ni aibu. Kumdhalilisha mKuu wa nchi tena hadhalani

na nyie mod mimuweke sehemu ya kuedit heading

WAJIGANYA isomeke Kujifanya​

Hapo rasilimali za nchi ikiwemo watumishi, pesa na muda vitatumika kuadabisha watu kisa kuna watu hawakutambulishwa kwa itifaki. Shithole country.
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais

Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-

1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?

2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?

3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?

4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?

5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Tangu mwaka jana kanisa lilitoa waraka hakuna viongozi wa kisiasa kuzungumza kanisani, yaani kupewa airtime
 
Mtazamo wangu
Angekuwa anatambulika kama rais angewekwa moja kwa moja kwenye ratiba ya kutoa meno na si hiyo ya ... Kama.....!
Kwa hiyo Kitima alimtambulisha kama kada wa ufipa na sio Rais? We mzee una akili ndogo sana
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais

Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-

1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?

2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?

3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?

4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?

5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Kitima hajakosea popote akili kubwa imetumika hapo wajinga hamuwezi kuelewa
 
5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni l
Hata Samia sio kwamba alienda tu bila kujipanga kwani anafahamu fika kuwa kuna baadhi ya watu au viongozi wa kanisa hawampendi.Anajua sana na alifanya kilichokuwa muhimu na kuondoka
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo

Hayanionhgezei wala kunipunguzia chakula yangu
 
Watu mnakuza mambo tu, mnataka siasa zipewe nafasi kila mahali...
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.

Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais

Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-

1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?

2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?

3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?

4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?

5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Tuondolee Hii Ugoro
 
Back
Top Bottom