Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo
https://www.facebook.com/Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais
Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?
2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?
3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?
4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?
5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Amefanya vizuri kutokuwataja cdm, maana viongozi wa serekali hii haramu wanapata shida sana wanaposikia cdm inataja, tena ikitajwa na RC ndio wanaumia ajabu.Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!

Hata mimi sijaelewa hasa anataka kusema nini! Ila nina maoni haya: sisi wananchi wa Tanzania hatujui wajibu wetu kwenye kutaka kuongozwa na viongozi wa utashi wetu. Tunadhani kuwa sisi tunatakiwa kukaa kimya na tuaachie taasisi, wanaharakati, mataifa ya nje au jeshi kutuondolea viongozi wabovu, mafisadi na wauaji. Ndiyo maana kila jambo linalofanyika sasa hivi juu ya huu utawala wa Samia tunalaumu au kupongeza pale ambapo tunadhani tumesaidiwa au kusalitiwa.Hueleweki!
Kutambulika na kitima au?..kama na kitima basi kitima alimtambua kama rais kwa kauli zakeMtazamo wangu
Angekuwa anatambulika kama rais angewekwa moja kwa moja kwenye ratiba ya kutoa meno na si hiyo ya ... Kama.....!
Angewataja kungekuwa wajinga wengi wangepata ''ushahidi'' kuwa yeye ni mpenzi wa CHADEMA.Amefanya vizuri kutokuwataja cdm, maana viongozi wa serekali hii haramu wanapata shida sana wanaposikia cdm inataja, tena ikitajwa na RC ndio wanaumia ajabu.
Hapo rasilimali za nchi ikiwemo watumishi, pesa na muda vitatumika kuadabisha watu kisa kuna watu hawakutambulishwa kwa itifaki. Shithole country.Kuna haja ya kuangalia haya mambo kwa macho manne.
Nilifuatilia hii sijui mnaita misa ya kumuaga askofu sikujua Father Kitime ni yupi ila nyie elimu ni silaha, elimu ni ngao, elimu ni njia huyu father kitaalamu amemdhalilisha sana Samia.
yaani ni aibu. Kumdhalilisha mKuu wa nchi tena hadhalani
na nyie mod mimuweke sehemu ya kuedit heading
WAJIGANYA isomeke Kujifanya
Tangu mwaka jana kanisa lilitoa waraka hakuna viongozi wa kisiasa kuzungumza kanisani, yaani kupewa airtimeRaha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais
Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?
2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?
3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?
4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?
5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Kwa hiyo Kitima alimtambulisha kama kada wa ufipa na sio Rais? We mzee una akili ndogo sanaMtazamo wangu
Angekuwa anatambulika kama rais angewekwa moja kwa moja kwenye ratiba ya kutoa meno na si hiyo ya ... Kama.....!
Kitima hajakosea popote akili kubwa imetumika hapo wajinga hamuwezi kuelewaRaha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais
Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?
2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?
3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?
4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?
5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Hata Samia sio kwamba alienda tu bila kujipanga kwani anafahamu fika kuwa kuna baadhi ya watu au viongozi wa kanisa hawampendi.Anajua sana na alifanya kilichokuwa muhimu na kuondokaRaha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau mbele ya Rais
Binafsi natofautiana sana na wanaosema hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kwanza ikumbukwe Kanisa lilishapiga marufuku viongozi wa kisiasa na kiserikali kuongea kanisani. Hili liko wazi na liko kwenye maandishi yao. Kwanini jana Fr. Kitima alisema "...kama Rais ana neno anaweza kutoa..." Tuwaulize TEC kama lile tamko lao wameshalifuta? Vipi kama Rais angekubali mwaliko huo wa kuongea?
2. Watu waliodogoshwa jana wala sio Rais ila nadhani ni viongozi wa CHADEMA. Wakati anawatambulisha hakutaja jina la CHADEMA badala yake alitumia neno "vyama vingine". Fr. Kitima ameanza lini kuwa mwoga? Alihofia nini kuitaja CHADEMA kwa jina kama alivyoitaja CCM? Hofu yake ilikuwa ni nini?
3. Nakubaliana na wanaosema alionyesha chuki kwa Samia pale alipomtambua Jesca Magufuri na kuwaalika waumini kumshangilia kisha akahanikiza na kibwagizo kuwa "Marehemu alikuwa rafiki mkubwa wa familia yao". Kwa aliyotendewa na serikali haikufanya lolote la maana hata mimi lazima ningefanya action ya kumfanya aone simpendi waziwazi tena nadhani mimi ningefanya zaidi ya ile. Hata hivyo hii haiwezi kuwa sababu ya watu kusema "amemdharau Rais". Kiaje? Walitaka asitambulishe?
4. Rais kuondoka baada ya zoezi la kuaga mwili. Sijui kwanini watu wanatafsiri kwamba "aliamua kuondoka". Hii tafsiri sio sahihi kwasababu kilichompeleka kanisani ni kuaga mwili na tayari amepewa nafasi hiyo anabaki kusubiri nini? Huo ni utaratibu wa kawaida, angealikwa kuhutubia baada ya hotuba angebaki? Kwanini watu walitaka abaki baada ya kuaga wakati tayari shughuli iliyompeleka ameimaliza?
5. Fr. Kitima alikosea sana kutamka "kama ana neno anaweza kuongea". Nadhani hata maaskofu watakuwa walishituka kusikia vile. Sina hakika kama hilo alipanga kulisema au lilishajadiliwa kabla. Pengine neno hilo lilimtoka kwa bahati mbaya (au alijifanya kukosea kwasababu alijua kabisa hawezi kuongea chochote kama hajaandaliwa) kwasababu kimsingi jana kanisani palikuwa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni l
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sa sio sehemu ya kutoa salamu za rambirambi. Siku ya kutoa salamu za rambirambi ni siku ya mazishi ambayo ni leo
Tuondolee Hii UgoroRaha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!