Huu ulishakuwa wimbo mzuri masikioni mwa watu hata akija mtu akawaonyesha na jins alivyoathirika hawawezi kuelewa kamwe
Youkhh.......ukikutana na yourgut huko itakuwaje?nini tena
hamna neon unaswaga tu untupiamo nje kama ww sio mtumiaj au kama vipi wamezaYoukhh.......ukikutana na yourgut huko itakuwaje?
hebu mwambie hajui tu huyo utam wake ukoje
Bebi ake usimwage kuku kwenye mchele mwingi... wataniibia watu ujue...
ndio uache xaxa! Coz unaipenda xana na unakuwa mbixhi kuacha
magonjwa mengne ni kujitakia tu,, hivi kweli uzame chumvi wakat hakuna ladha,kuna harufu mbaya,
aaghrrrrr,, ptuuu
Naomba twisheni!aliyeandika hivyo hajui utamu wake
Tatizo haya mambo hayana chama wala itikadi.Tatizo la watanzania ni kuiga mambo ya kijinga badala ya vitu vya kuendeleza taifa letu.
Uuuuuwwwwwiiii........!!!!!!!Hamna jipya hapo!
Utafiti wa hivi karibuni ilitangazwa na umeonesha theluthi mbili ya kansa ni bahati mbaya tu.
Kuzama chumvini hatuachi ng'oo kama vile ambavyo hatuachi pombe wala kuvuta sigara.
porn zitamaliza watu..ivi ni kwa nini watu wanazama chumvini..?