Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo

Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo

kuzama ndo habar ya mujin jamani
sema tuangaie na hao watu unao share nao kama ni permanent its ok kama ni temp ndo itakula kwako bt cant stop dat
 
Kuna baadhi ya wanawake ni wachafu infection kibao kwahivyo kuzama kwako chumvini lazima kuku-cost.. Mwingine ana magonjwa yake ya Zinaa yanayo chipukia lazma matatizo hayo yamkumbe.
 
Endeleeni tu si inasemekana mapenzi ni uchafu??? I will not engage in such a game.
 
Kuzama chumvini ni bonge la enjoyment...if I enjoy it kwa nini nisizame? Nafanya hivyo kwa mtu mmoja TU..!! nyie zameni kwa kila avuae chupi na matokeo yake ndio hayo...!!!
 
Chumvini kunategemea kuna watu wasafi jamani pako safi hakuna harufu kabisa kwa nini nisizame tena hyu mtu ni mke wangu!!!

!
!
raha ya pilau harufu inachangia pia mkuu. Kale kaharufu kanatakiwa kawepo kiaina ili kuleta tofauti kati ya denda na chumvini. Kana raha yake kale kaharufu. Mbaya ni pale kanapokuwa dizaini kama kanapalia fulani hivi, loh.
 
Back
Top Bottom