Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .
Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .