Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,407
Hahahaha!! Adi waziri mkuu mstaafu Pinda anaandika notes kiganjani kwa kidole bila wino sijui atakumbukaje? Mama Makinda yeye akihesabu tu vidole, kipaza sauti a.k.a sabwufa ye kaduwaa hajui cha kufanya.Dadeeeki kila siku nasema Chadema wana akili kuliko CCM wote combined together na mamluki wao hamtaki. Chadema mmoja ni sawa na Ccm top officials watatu au wanne. Ushahidi huu hapa. Hesabu mwenyewe hapoView attachment 1294955
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app