Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
Mithuli ya vinyago
Ni ukweli usio pingika kuwa wewe huna shughuli yeyote ufanyayo ndani ya Jamhuri hii zaidi ya ajira ya JF.Sare Ndio zinaleta kura?
Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?
Mnaudhi sana kwa kweli
Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Sare Ndio zinaleta kura?
Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?
Mnaudhi sana kwa kweli
Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Nadhani umeona sasa umeona tofauti kati ya chama cha kisasa na chama cha kizee kwenye ubunifu. Hicho kizee kinatumia mabavu tu, wakati hiki cha kisasa ni ubunifu tu.
Hapa alijaribu kuuga lakini naona hizo rangi mh..
Haloo hapo ukiuliza gharama Mbowe anakupokonya kadi ya chama
Rangi nyekundu inawakiklisha upendo na ukombozi. Maana nyingine ni za uchochoroni.Sare Ndio zinaleta kura?
Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?
Mnaudhi sana kwa kweli
Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Hizo ndio mbinu za kufanya biashara. Unatoa masharti ya kuhakikisha jozi ulizoingiza nchini zinanunuliwa zote. Ole wake mjumbe wa mkutano mkuu asinunue. Na haizuii mtu yeyote kununua.View attachment 1294945
View attachment 1294946
View attachment 1294947
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .
Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .
Wajumbe wote wa baraza kuu wamegawiwa bure kabisaHizo ndio mbinu za kufanya biashara. Unatoa masharti ya kuhakikisha jozi ulizoingiza nchini zinanunuliwa zote. Ole wake mjumbe wa mkutano mkuu asinunue. Na haizuii mtu yeyote kununua.
KINYAA MNATIAView attachment 1294945
View attachment 1294946
View attachment 1294947
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .
Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
Dadeeeki kila siku nasema Chadema wana akili kuliko CCM wote combined together na mamluki wao hamtaki. Chadema mmoja ni sawa na Ccm top officials watatu au wanne. Ushahidi huu hapa. Hesabu mwenyewe hapoView attachment 1294955
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usio pingika kuwa wewe huna shughuli yeyote ufanyayo ndani ya Jamhuri hii zaidi ya ajira ya JF.
Nimegundua kila post ya siasa inayowekwa post #2 lazima uwe wewe! Inamaanisha uko stand by kuzisubiri.
Nakushauri tafuta kazi na nyingine yenye manufaa kwa taifa, sio sisi tuzalishe mali na vyakula wewe unakula tuu. Bora hata ungekuwa kahaba kuna watu wangeondolea uchovu kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha Ni alipokuwa kafiwa na dada yake ulitaka asizingukwe na watu kumpa pole?Dadeeeki kila siku nasema Chadema wana akili kuliko CCM wote combined together na mamluki wao hamtaki. Chadema mmoja ni sawa na Ccm top officials watatu au wanne. Ushahidi huu hapa. Hesabu mwenyewe hapoView attachment 1294955
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sibishaniHiyo picha Ni alipokuwa kafiwa na dada yake ulitaka asizingukwe na watu kumpa pole?
Kwa hiyo hizo sare, ambazo kwa maelezo yako zimewapoteza mamluki ndio zimewapa hasira na kutoa tamko la kishusha bendera zao?View attachment 1294945