Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

Ama kweli nyani haoni kundule

Nyuzi zako nyingi zinamhusu domo na wasafi
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
 
Very painful, sasa hivi wanasingizia kuwa mafuriko kwenye barabara za Dar yameletwa na Bendera za Chadema
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani, uchawi upo Africa tu.

Bendera na huu msimu wa mvua wapi na wapi? [emoji849][emoji849]

Nasisi tukisema lile Dege lao limekuja na mikosi kwa kumdhulumu mkulima? [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili binti jiongeze hata kwa mange anauza dawa za kuongezea wowowo na hips, angalau utaweza kuwawin hata mahouseboy na walinzi hapo mikocheni! Huna mchango wowote wa maana humu jf zaidi ya mapambio na sifa za kishamba tu! Hivi wewe na wakudadavua ni mashost? Huenda ni mashost maana hoja zenu zote zinalandana sana! Uwe na adabu humu!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Haki ya nani sitoki Jamiiforums.

Kumbe Kawe Alumni ni kabinti cha mtandaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani vituko haviishi chadema, anzisheni fashion entity kabisa ila kuwakwepa ccm
 
Hivi wewe binti una nini lakini? Hujielewi na hujitambui aslani! Kama umekataliwa na vijana wa hapo mikocheni ni kwasababu ya sura na roho yako mbaya ambayo Haina mvuto! Hivi nani huchezea boksi la kura na kuliiba Kama siyo ccm na policcm na necccm? Au ulitaka kuandika Nini? Hiyo gongo unayokunywa hapo mikocheni kwa wamakonde itakuua karibuni kwani huna maini ya kuzuia ukali wake! Unahoji rangi nyekundu as if rangi ni kiashirio Cha vurugu! Kahoji Ile ya Simba Basi Kama una guts! Popoma mwili nzima!
Mnasihi

Leo nilikuwa na hasira siku nzima.

Baada ya kuona comment yako nimecheka mpaka watu wa pembeni wamenihisi ni kichaa.

Ahsante kumpa ukweli huyu Kawe Alumni Binti wa mtandaoni, ameshindwa kushona madera na kukatika kwa mabuzi yake huko kawe, akijua atakua mange kimambi.

Tumvalishe kanga na shanga. [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasihi

Leo nilikuwa na hasira siku nzima.

Baada ya kuona comment yako nimecheka mpaka watu wa pembeni wamenihisi ni kichaa.

Ahsante kumpa ukweli huyu Kawe Alumni Binti wa mtandaoni, ameshindwa kushona madera na kukatika kwa mabuzi yake huko kawe, akijua atakua mange kimambi.

Tumvalishe kanga na shanga. [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shanga hakosi kwani Mila yake ya kimakonde inamruhusu! Anajitega Sana pale triple seven eti naye aonekane mjanja kumbe zwazwa tu!
 
View attachment 1294945
View attachment 1294946
View attachment 1294947

Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .

Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .
Hiyo inaitwa chenga ya mwili na akili
 
Sare Ndio zinaleta kura?

Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?

Mnaudhi sana kwa kweli

Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Hutakubali we nani sasa? Nzi wa kijani tutawadhibiti na mtajuta kutufahamu,awamu hii hatoki mtu salama hapo wewe njoo ujaribu uone
 
Back
Top Bottom