Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

View attachment 1294945
View attachment 1294946
View attachment 1294947

Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .

Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .
Hizo na jezi za timu za mchangani zina tofauti ipi?
 
Dadeeeki kila siku nasema Chadema wana akili kuliko CCM wote combined together na mamluki wao hamtaki. Chadema mmoja ni sawa na Ccm top officials watatu au wanne. Ushahidi huu hapa. Hesabu mwenyewe hapoView attachment 1294955

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wote wanaijua hii mashine ya Ikungi,ni siku hizi tu, wengine wanajibalaguza kwa uwepo wa jiwe!
 
Huwezi amini tembo na ukubwa wake wote ule eti ubongo wake haufikii hata robo kilo, na ndiye mnyama anayeongoza kwa umbumbumbu porini. Ndo maana watu flani waliitwa nyumbu

Back
Top Bottom