Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania

Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.

Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
 
Nimeyaona sana mavazi haya murua ya CHAMA kule Ifakara, kweli CHAMA kinapendwa Kilombero hadi imekuwa ni familia kabisa.
 
Mkuu mwambie Mbowe akae pembeni tumemchoka, na tunajua kuwa ni pandikizi wa ccm
 
Mkuu mwambie Mbowe akae pembeni tumemchoka, na tunajua kuwa ni pandikizi wa ccm
 
Mkuu mwambie Mbowe akae pembeni tumemchoka, na tunajua kuwa ni pandikizi wa ccm
 
Wako wapi wanaogombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…