Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

KAJIBUNI KWANZA TUHUMA ZA RUSHWA ANAZOTOA LISSU NDIYO MJE MUUZE NGUO ZENU LA SIVYO HIZO ZITAKUWA Z AKUPIGIA DEKI
Mbona huwambii wezi wa lumumba wajibu tuhuma za kagoda, twin towers, escrow, meremeta, na mengi yanayoibuliwa kila siku na CAG?
Unabeba rushwa ya chadema wakati hata mwenyekiti wa kijiji wa ccm ni mla rushwa?
Unaichukia rushwa halafu unawachukia wapinzani .
 
Ni mzigo wa nani huo Mwenyekiti au makamu
Wangu mtanzania huru mwenye wivu kwa maslahi ya watanzania bila kujali itikadi ilmradi ni mwenye kuwa mzalendo kweli kwa manufaa ya watanzani.
 
Back
Top Bottom