Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania

View attachment 3152392View attachment 3152393

Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.

Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
Hizi picha huzifutagi tu ?
 
Yapande tu kila mtanzania asikose nguo nzuri hizo kwanza rangi murua sio zile alzeti
 
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania

View attachment 3152392View attachment 3152393

Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.

Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa kwa Taarifa za Chama hicho Mitandaoni kumechagiza Kuinuka kwa mauzo ya Sare zake
 
Attachments

  • VID-20241114-WA0058.mp4
    6.6 MB
Back
Top Bottom