Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu moyo ulionao mkuu kuhusu chadema, huwa nafikir muda mwingine huenda wewe ni mzee Mtei...Maana huu moyo wa kuipenda chadeama namna hii naamin hata Mbowe hana πŸ˜‚
 
Hata Nyerere alipopigania Uhuru wa Tanganyika alisimangwa kama hivi
 
am honest mkuu sio kwamba nakudharau kaka
Mimi ni miongoni mwa wana JF wasiojali lolote kuhusu kudharauliwa wala kutukanwa , nadhani pia rekodi yangu ya kutukanwa humu jf hakuna aliyeivunja , kwahiyo ukinidharau au kunitukana kuwa na amani tu , labda uangalie tu akina moderator
 
Hivi hiki chama bado kipo kumbe watu tulishakisahau
 
Mimi ni miongoni mwa wana JF wasiojali lolote kuhusu kudharauliwa wala kutukanwa , nadhani pia rekodi yangu ya kutukanwa humu jf hakuna aliyeivunja , kwahiyo ukinidharau au kunitukana kuwa na amani tu , labda uangalie tu akina moderator
Endelea na moyo huo huo
 
Hapa nimeambulia kofia tu...24 kama siafu barabarani.....Mkoloni atimuliwe
 
Raia kuvaa au kushona sare zinazofanana na za majeshi ni makosa. Hao chadema waamatwe kwa kugushi na kuvaa sare za JESHI LA AKIBA LA MGAMBO
 
Ambao mko Mbeya sare ziko Mwanjelwa , Soko Matola na Uhindini
 
Raia kuvaa au kushona sare zinazofanana na za majeshi ni makosa. Hao chadema waamatwe kwa kugushi na kuvaa sare za JESHI LA AKIBA LA MGAMBO
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…