Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia.

Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani.

Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu.

Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo.

Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au Arsenal kuliko kutuvalia masale meupe kama mizimu wengine wanatuvalia masale ya rangi ya kjivu kama makombati ya wavuta bangi.

Kwanini msichague sare zenye rangi inayovutia kama ya CCM.

Hivi hamwoni wivu mkiona wanaccm wanavyo tinga sare zinazovutia.

Hivi hamwoni aibu hata vile vitambaa vya wanawake wa CCM.

Kama hujanielewa naomba tutupie sare za ile siku ACT wanamkaribisha mwanachama mpya.

Na zile za Chadema alafu tutupie na za CCM.
WEMA2.png

2323.jpg


2466810_images2011.jpg

2466812_images2013.jpg

2466813_images209.jpg

2466814_images2010.jpg
SAMI3.jpg

IMG_0501.jpg


Sipo kwenye hili jukwaa kwaajili ya kulipwa na mtu yeyote wala sihitaji malipo.
Nipo kwaajili ya kuzungumza ukweli.
Na huu ndio ukweli kwamba vyama vya upinzani vimejaa viongozi na wanachama washamba na ndio maana wameshindwa kuchagua angalau hata sare zinazovutia.

Wameshindwa kutambua kwamba hata sare ni sehemu ya chama.

Na ndio sababu hata wanachama wengi wa hivi vyama ni wale wasiojitambua walopokaji utadhani wanavuta mibangi.
 
Rangi mbaya ni za kijani na Njano,
Hivi ww kwa akili yako ya kawaida unaweza kuvaa shati la njano? Ila shati Jeupe ni fashion kabisa,shati la blue ni safi kabisa,tena na suruali nyeusi,
Hebu fikiria uvae shati la njano na suruali ya kijani na mwingine avae shati jeupe na suruali nyeusi nani atapendeza?
 
Rangi mbaya ni za kijani na Njano,
Hivi ww kwa akili yako ya kawaida unaweza kuvaa shati la njano? Ila shati Jeupe ni fashion kabisa,shati la blue ni safi kabisa,tena na suruali nyeusi,
Hebu fikiria uvae shati la njano na suruali ya kijani na mwingine avae shati jeupe na suruali nyeusi nani atapendeza?
Naomba tuweke picha za mavazi ya chadema, ACT na CCM
 
Acha umama mkuu ukweli unaujua vizuri
Wewe acha kudharau 'wamama' inaonyesha hata huko CCM kwenu unawadharau 'UWT' si ndio?
Ukweli ni huo nliokupa Mimi ww jaribu kuvaa shati la njano na suruali ya kijani halafu Mimi novae suruali nyeusi na shati nyeupe au la light blue nani atapendeza
 
2020 twende na picha za mitindo ya mavazi ya CCM.
images%20(11).jpg
images%20(12).jpg
]
images%20(10).jpg
 

Attachments

  • images%20(13).jpg
    images%20(13).jpg
    14 KB · Views: 2
  • images%20(9).jpg
    images%20(9).jpg
    9.5 KB · Views: 2
Unatafta kupendeza mwanaume umekuwa shoga endeleen kupendeza kama bashite
We nawe ni mshamba, kupendeza na umaridadi ni muhimu sana kwa mwanaume si hata mnamuona Majaliwa PM akivaa suti anavyopendeza? Ulitaka asipendeze awe rafurafu kama wewe?
 
Kweli Siasa ni Brain washing people..., kipaumbele ni nguo gani za chama gani wanapendeza na sio kuhakikisha kila mwananchi angalao ana mavazi (no matter hata kama hapendezi) malazi na chakula......
 
CCM li chama la wazee!! I mean hata vijana walioko huko pia wana mawazo ya kidingi dingi..
 
Kamanda havai mtandio. Kamanda anavaa gwanda. Anayekwenda kwenye Kitchen party anavaa mtandio!
 
Back
Top Bottom