jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Here is another imbecile proudly commenting on a serious issue.Kwa taarifa tu ndugu mleta mada pamoja na kwamba ,mada yako imekaa kinoko sana ,yaani kimbeya mbeya ni hivi ,serikali iliyomwajiri huyo mkurugenzi Ambae wewe unamuona ni mkubwa sana inaongozwa na chama Cha mapinduzi[emoji1787]na huyo mkurugenzi ni zao la uvccm!