implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Wasi wasi wangu ni tume tu,je itaacha kuwabeba watu hao?!,, ngoja tuone.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka,pigo takatifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasi wasi wangu ni tume tu,je itaacha kuwabeba watu hao?!,, ngoja tuone.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka,pigo takatifu.
Hizi sifa zenu Za kitoto very soon zitakoma!
Kwa watanzania gani? Hawa ambao CCM imezoa ushindi wa 99% LGE??..Mama Abduli na Nchimbi hawavutii kabisa.
..watapata wakati mgumu ikiwa wapinzani watasimamisha mgombea vibrant.
Kabisa mkuuWanasherekea mara ya mwisho mkuu,
Hata goli la mkono awamu hii wajipange mkono utakatwaBila goli la mkono ,hali ni mbaya sana
😅😅😅Mwaka 2025 Wamejichanganya tena
Na pesa za USAIDs hakunaWalishazoea free lunch ndo maana uvccm wamepagawa hapa kila dakika wanatoa uzi wa kuiponda chadema au Lissu, nyuzi zinakuja constantly tangu Lissu Katangaza kugombea!
Nyumbu endeleeni kujidanganyana. Chadema ya sasa ya Tundu Lissu ni DHAIFU SANA. Nabet ikitokea Chadema Uchaguzi Mkuu huu ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa, basi nipigwe ban JF ya MWAKA MMOJA!Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Serikali ya kikoloni ilipata upinzani wa kweli kutoka kwa watanzania wazalendo.
Baada ya uhuru serika ya Taa, Tanu na badae ccm hawakuwa na mpinzani wa kweli. Miaka ya 1980s'Dunia ilikuwa chini ya mfumo wa kibepari.
Hivyo demokrasia ndio ulikuwa msingi mkuu wa kibepari. Nchi yetu ililazimika kuingia huko. KWA kuwa mwl NYERERE alikuwa smart indeed, akasema isiwe case, akamua kuanzisha upinzani feki( Black agent) chini ya baadhi ya watu akiwemo Edwin Mtei, Lyatonga Mrema nk
Lengo ilikuwa kupata misaada kutoka kwa mabepari chini ya IMF NA WORLD BANK. vyama vya siasa vikaanzishwa, TLP, CHADEMA, NCCR, CUF, NK, I'li kuwazuga watoa misaada waone kuwa Tanzania kuna democrasia, na upinzani kumbe ni feki.
CCM wakauendeleza mfumo huo mpaka mwaka 2015 wakajichanganya kidogo, akangia mtu wa nje na mfumo, akataka kutoa siri kwa WANANCHI, ambayo CCM na state agents wameificha na kuilinda zaidi ya miaka 30. Wakala kichwa chake.
Sasa cha kushangaza na kusikitisha, sijui walijisahau vip? Sijui kuna baadhi ya watu waliosoma Cuba walichoka kuendelea kuilinda siri hii, ? Mwaka 2025 Wamejichanganya tena
Mwaka huu 2025, kile CHAMA kilichoanzishwa kwa makusudi maalumu ya kuwazuga watoa misaada na wananchi chini ya mablack agents CHADEMA feki kimekuwa CHAMA kikuu cha upinzani wa kweli. Chini ya mwenyekiti mh Tundu Lissu.
Wananchi wote ndani na nje ya nchi wamerudisha matumaini mapya kabisa kwa nchi yao nzuri ingawa Mafisadi, wala rushwa, machawa, wadhalimu, na viongozi wote wapumbavu leo hii hawapati hata usingizi, wanahaha, hawajui wafanye nini namna ya kuthibiti CHADEMA ya kweli. Mwaka huu tutaona mengi sana. "Hakuna masiki yasio na ncha"
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Team Mbowe mnaumia sanaNyumbu endeleeni kujidanganyana. Chadema ya sasa ya Tundu Lissu ni DHAIFU SANA. Nabet ikitokea Chadema Uchaguzi Mkuu huu ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa, basi nipigwe ban JF ya MWAKA MMOJA!
Na Chadema ikipata kura za Urais kwa asilimia zaidi ya 15% niongezewe ban iwe MIAKA MIWILI!
HakikaBila policcm,tume huru, ccm hitabaki san madarakani maan kwa Lisu 👍
Mimi ni CCM lialia. Na kwa taarifa yako, Mbowe aliiweza CCM, lakini Lissu is just a piece cake for CCM!Team Mbowe mnaumia sana