Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
- Thread starter
- #81
Mkuu, nyerere alikuwa mwanadamu kama wengine, hivyo alikuwa na mapungu yake, kama Yesu alisemwa sembuse NYERERE mwanadamu, au kwako NYERERE alikuwa Mungu?Chadema wakitaka kushinda uchaguzi ujao basi wasimsimamishe Lisu watafute mgombea mwingine Lisu hawezi kuwa rais wa nchi hii aliyoiasisi Nyerere. Lisu alimdhihaki Nyerere kwa kumuita mlaghai ktk suala zima la kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar kwenye bunge la katiba. Sasa nchi hii Fanya ujinga wako wote ila usimguse Nyerere huto eleweka kamwe