Pre GE2025 Sasa CCM imepata mpinzani wa kweli tangu 1992-2025 CHADEMA chini Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Mama Abduli na Nchimbi hawavutii kabisa.

..watapata wakati mgumu ikiwa wapinzani watasimamisha mgombea vibrant.
Kabisa mkuu, labda wange mpa makonda, angeleta mvuto
 
Walishazoea free lunch ndo maana uvccm wamepagawa hapa kila dakika wanatoa uzi wa kuiponda chadema au Lissu, nyuzi zinakuja constantly tangu Lissu Katangaza kugombea!
 
Nyumbu endeleeni kujidanganyana. Chadema ya sasa ya Tundu Lissu ni DHAIFU SANA. Nabet ikitokea Chadema Uchaguzi Mkuu huu ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa, basi nipigwe ban JF ya MWAKA MMOJA!

Na Chadema ikipata kura za Urais kwa asilimia zaidi ya 15% niongezewe ban iwe MIAKA MIWILI!
 
Team Mbowe mnaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…