Pre GE2025 Sasa CCM imepata mpinzani wa kweli tangu 1992-2025 CHADEMA chini Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi ukiwa huru na haki, samia chali
 
Tundu Lissu is the Perfect Choice
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki, samia
Mimi ni CCM lialia. Na kwa taarifa yako, Mbowe aliiweza CCM, lakini Lissu is just a piece cake for CCM!
Subili Kazi ianze, wenzio hawalali, huyo mzee wa kusinzia
 
Achani kujidanganya. Kwa sasa mpinzani wa CCM ni CHAUMMA na UPDP... CHADEMA imeshajifia.
 
Uzuri wa JF ni kupokea kila kitu

This is one of the classic gabbage

As long as ni chakademus ilo pale hakuna kinachobadilika
 
Na amekataa mabulungutu, ana roho ngumu usawa huu
 
Lissu ni mwepesi kuliko tissue paper, ni mbwekaji lkn sio mvumilivu na mwepesi sana kuingia kwenye jinai yeye mwenyewe au kuingiza wengine. Muda utaongea, atakuwa amekimbilia ubelijigi.
 
Lissu ni mwepesi kuliko tissue paper, ni mbwekaji lkn sio mvumilivu na mwepesi sana kuingia kwenye jinai yeye mwenyewe au kuingiza wengine. Muda utaongea, atakuwa amekimbilia ubelijigi.
Hamna mkuu, amechagua timu makini sana, na watanzania wapo nyuma yake
 
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 1
Huyu mzee wa usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…