Chadema wakitaka kushinda uchaguzi ujao basi wasimsimamishe Lisu watafute mgombea mwingine Lisu hawezi kuwa rais wa nchi hii aliyoiasisi Nyerere. Lisu alimdhihaki Nyerere kwa kumuita mlaghai ktk suala zima la kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar kwenye bunge la katiba. Sasa nchi hii Fanya ujinga wako wote ila usimguse Nyerere huto eleweka kamwe