johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uko ufipa mnajiitaje?UWT kaeni mliangalie hili jambo
Kwani chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa ana maoni gani kuhusu jambo hili?Uko ufipa mnajiitaje?
Parachichi Lililoiva? ππ
Wa kiume watakuwa ni Papai lililoiva .Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani πΌ
Hatari na nusu, Bure Ghari
Itakuwa PapaiItakuwa ni dodo pia
Waandae vivunio..UWT hiki ni kipindi chenu cha mavuno
Wapo tayariWaandae vivunio..
Amepitaje vetting huyu..hizi ndio dalili ccm ni mufilisi, halafu siku ya siku wamama wanaweka foleni barabarani kupinga uonevu kingono wakati maneno anayotamka huyu msichana yana-invite sexual exploitation!Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. πΌ
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Du! Mwashambwa anahusika au?Wa kiume watakuwa ni Papai lililoiva .
ndo maana wako over populated sehemu hiyo, wao ni kufyatuka tu...Yupo sahihi sidhani kama dada zangu wa shy wachoyo kugawa madodo
Dodo lililowiva ni chawoteTunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. πΌ
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Where is the lie? Hakuna cha bure! Madodo hayo yanaliwaga sana na walaji waomba kulaTunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Hatari na nusu, Bure Ghari.
Masikini njaa mbaya sana hao viumbe wako tayari kuliwa kimasiharaTunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. πΌ
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Dodo lililoiva maana yake hajavaa chupi, chakula kilichoiva...mshindwe wenyeweTunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. πΌ
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Any kweseni?Masikini njaa mbaya sana hao viumbe wako tayari kuliwa kimasihara