Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Matunda yakisha kuiva sharti upeleke sokoni usipo fanya hivyo yatakuozea nyumbani hahaha 🤣 kuna siku nilikuwa nasikiliza mawaidha nikakutana na hilo fumbo kwamba msichana, (mtoto wako wa kike) akikwambia mzazi nataka kuolewa ukamkatalia atakuletea wajukuu nyumbaniTunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837