Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Huyu dada katia aibu sana....Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva [emoji1]
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. [emoji209]
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Uchafu mtupu alioongea...
Namjua....