Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Huyu dada katia aibu sana....Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva [emoji1]
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. [emoji209]
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
Aibu sana...Dodo lililoiva maana yake hajaa chupi, chakula kilichoiva...mshindwe wenyewe
Hovyo....Masikini njaa mbaya sana hao viumbe wako tayari kuliwa kimasihara
Kulana kunahusiana nini na malengo yetu makubwa ya KINCHI,?!!!Where is the lie? Hakuna cha bure! Madodo hayo yanaliwaga sana na walaji waomba kula
Any kwesteni....any kwesteni...any kwesteniUWT kaeni mliangalie hili jambo
Uhovyo tu...Yupo sahihi sidhani kama dada zangu wa shy wachoyo kugawa madodo
Sasa akili zao si ndiko zilikoishia?Kulana kunahusiana nini na malengo yetu makubwa ya KINCHI,?!!!
Malengo ya nchi si kulana....petty issues.,..
Sijui kama wanamkumbuka wenzie huko kwenye keki π€£Kwani chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa ana maoni gani kuhusu jambo hili?
Hivi amechaguliwa?Aibu sana...
Hovyo
Na ndoo kazi yao mkuu,chunguza kuanzia familia yako,mkeo anakula kwa dodo lakeMasikini njaa mbaya sana hao viumbe wako tayari kuliwa kimasihara
COVID 19Uko ufipa mnajiitaje?
Parachichi Lililoiva? ππ
Umalaya tu!Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva π
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. πΌ
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatari na nusu, Bure Ghari.
View attachment 3086837
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]COVID 19