Sasa chumba chako, ofisi, nyumba vyaweza kupambwa na rangi kwa manjonjo namna hii

Fundi rangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
3,527
Reaction score
1,211
Wapendwa wana Jf Poleni na majukumu.

Kutana na jopo la mafundi walio bobea katika upigaji rangi nyumba maofisi na maeneo yoyote ambayo ungependa yapambwe kwa Rangi. pia tunachanganya rangi kwa kutumia mashine ya kisasa. Kama unavyoona rangi hizo zimepigwa kwa mkono na si wall paper wala sticker. Tupo mitaa ya Gogo na Mchikichi.

Pia tunatoa ushauri kwa watu wenye nia ya kuhitaji huduma zetu. Garama ya kukutebelea na kukushauri ni zetu,hulipii chochote, kwa kuwa tupo Dar es salaam, huduma ya kutembelewa bule ni kwa wa kazi wa Dar tu.

Pia tunayo program inayo onesha mchanganiko wa rangi unayopenda. Mfano unataka blue bahari, program yetu inauwezo wa kukuonesha aina ya rangi zinazoendana na blue bahari.

Kunawatu wanapenda vitu vyenye rangi za aina flani, hivyo kama ni chumba, sebule,jiko bafu, tuna kushauri kupiga rangi inayo shabihiana na rangi ya vitu unavyovipenda.

Karibunisana tuwapambe. wasiliana nasi kwa no 0766 11 12 12

Update

Tangazo chili sasa lina zaidi ya page 3 hivyo picha utazipata page ya kwanza. Karibuni
 
Hii ni nyongeza ya picha na nitaendelea kuweka nyingine kulingana na mahitaji.
 

Attachments

  • DSC04687.JPG
    46 KB · Views: 1,677
  • DSC04684.JPG
    47.3 KB · Views: 1,556
  • DSC04685.JPG
    49.1 KB · Views: 1,693
  • IMG-20140903-WA0013.jpg
    137 KB · Views: 1,711
  • IMG-20140903-WA0022.jpg
    40.4 KB · Views: 1,628
  • IMG-20140903-WA0027.jpg
    35.5 KB · Views: 1,850
  • IMG-20140903-WA0029.jpg
    45.3 KB · Views: 2,007
Mkuu umetisha..acha tujipange then nitakucheki..vipi kuhusu gharama zako kwa chumba cha kawaida cha 12&12?
 
Mkuu umetisha..acha tujipange then nitakucheki..vipi kuhusu gharama zako kwa chumba cha kawaida cha 12&12?

Mkuu asante sana mkuu kwa ushirikiano, kwa sasa naondoka kwenye mtandao kesho nitakuwa na muda wa kutosha nitaweka garama na mchanganuo.
 
tunakusubiri urudi na mchanganua tujipange
 
hiyo mashine ya kuchanganya rangi ni ya kwenu? kama ninataka mnichanganyie tu rangi mnafanya bei gani?
 
hamko serious nyie mchanganuo mpaka sasa umewashinda kutoa
 
hamko serious nyie mchanganuo mpaka sasa umewashinda kutoa

Ndugu zangu samahani kama mjuavyo, mafundi tuko site tulibanwa kidogo japo kwa dakika chache naweza kutoa dondoo ya garama walau kwa maelezo kidogo.
Kifupi ni kwamba hizi rangi za mapambo kopo 1 lenye ujazo wa lt4 bei yake ni kati ya tsh. 75,000/ na 120,000/ kwa rangi hizi tunapiga sqm 1 kwa sh.20,000 rangi hii ikichafuka unaosha. kama ukuta haukuchubuliwa inakaa zaidi ya miaka 10, hii ni kwa mujubu wa mtengenezaji wa rangi. tangu tumeanza kupiga rangi za mapambo (art paint)ni miaka mi3 sasa, kote tulikopita watu wanaosha tu hazijapauka. kifupi hizi rangi ni za sanaa yaani art paint.

Kwakuwa rangi hizi ni garama wengi tulio wapigia tumepiga sitting room sehemu inako kaa tv au upande mmojawapo siting room, wengine ni office au wale wa chumba na sebule, hakika zinapendeza. wengine wanachanganya kuta yaani kila ukuta na rangi yake. Rangi hizi zinatoka nje hususani turk na spain.kifupi kama unavyoona kwenye picha ili ilete maana tunasema kupamba.

Tukija kwenye rangi za kawaida ndoo moja ya lt20 wastani bei ni tsh. 100,000/ mpaka 120,000/ hapa garama sqm 1 ni sawa na tsh. 5000 tunafanya kazi kwa uhakika, yani kuuandaa ukuta kwa ajili ya kupiga rangi, tofauti na hizi wanazopiga, unakuta ukuta umejaa mawimbi. kwa uhakika tunakutembelea na tunakushauri, kulingana na mahitaji yako. ushauri ni bule na garama za kukutembelea ni kwetu, tuite tukupambe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…