Sasa chumba chako, ofisi, nyumba vyaweza kupambwa na rangi kwa manjonjo namna hii

Ndugu zangu samahani kama mjuavyo, mafundi tuko site tulibanwa kidogo japo kwa dakika chache naweza kutoa dondoo ya garama walau kwa maelezo kidogo.
Kifupi ni kwamba hizi rangi za mapambo kopo 1 lenye ujazo wa lt4 bei yake ni kati ya tsh. 75,000/ na 120,000/ kwa rangi hizi tunapiga sqm 1 kwa sh.20,000 rangi hii ikichafuka unaosha. kama ukuta haukuchubuliwa inakaa zaidi ya miaka 10, hii ni kwa mujubu wa mtengenezaji wa rangi. tangu tumeanza kupiga rangi za mapambo (art paint)ni miaka mi3 sasa, kote tulikopita watu wanaosha tu hazijapauka. kifupi hizi rangi ni za sanaa yaani art paint.

Kwakuwa rangi hizi ni garama wengi tulio wapigia tumepiga sitting room sehemu inako kaa tv au upande mmojawapo siting room, wengine ni office au wale wa chumba na sebule, hakika zinapendeza. wengine wanachanganya kuta yaani kila ukuta na rangi yake. Rangi hizi zinatoka nje hususani turk na spain.kifupi kama unavyoona kwenye picha ili ilete maana tunasema kupamba.

Tukija kwenye rangi za kawaida ndoo moja ya lt20 wastani bei ni tsh. 100,000/ mpaka 120,000/ hapa garama sqm 1 ni sawa na tsh. 5000 tunafanya kazi kwa uhakika, yani kuuandaa ukuta kwa ajili ya kupiga rangi, tofauti na hizi wanazopiga, unakuta ukuta umejaa mawimbi. kwa uhakika tunakutembelea na tunakushauri, kulingana na mahitaji yako. ushauri ni bule na garama za kukutembelea ni kwetu, tuite tukupambe.

safi sana mkuu
 
Karibuni wadau mnaohitaji huduma yetu tuwapambe.
 
Hilo kopo la lita 4 linatosha mita ngapi za mraba?

Ni kwamba, kwa aina ile ya rangi ya mapambo, kopo 1 linaweza kupiga ukuwa wa sqm 15 za mraba. kwa wale wanaoendelea kuuliza maswali kuhusu rangi, ni kwamba tumebobea kwenye uchanganyaji wa rangi, lakini pia tunauandaa ukuta au eneo linalo hitaji kupigwa rangi kitaalam tofauti na upigaji uliozoeleka. Jambo lingine garama zetu za ufundi ni za kawaida, isipokuwa aina za rangi zinatofautiana kwa garama.

Hivyo tutakuhudumia kulingana na uwezo wako. Kukutembelea na kukushauri ni garama zetu, tafadhali usisite kutuita tukupambe.
 
Nitaendelea kuweka picha nyingine kulingana na mahitaji.
 
Attachments

  • DSC04684.JPG
    DSC04684.JPG
    47.3 KB · Views: 469
  • DSC04685.JPG
    DSC04685.JPG
    49.1 KB · Views: 460
  • DSC04686.JPG
    DSC04686.JPG
    36.1 KB · Views: 446
  • DSC04687.JPG
    DSC04687.JPG
    46 KB · Views: 430
  • IMG-20140903-WA0013.jpg
    IMG-20140903-WA0013.jpg
    137 KB · Views: 444
  • IMG-20140903-WA0029.jpg
    IMG-20140903-WA0029.jpg
    45.3 KB · Views: 503
Wakuu natafuta chumba cha ofisi maeneo ya temeke/chang'ombe,mwenge&kinondoni,mwananyamala,tabata/ninaweza kukipa chumba kuanzia50,000/=-70,000/=tu ndio uwezo wangu jamani naombeni msaada ktk hili....
Tusaidiane watanzania....
Nahitaji msaada mizaha pembeni
 
Ndu wadau, kwa wale mnaouliza upigaji wa rangi. Ni kwamba tunapiga rangi za aina zote hadi hizi za kawaida, sifa yetu kubwa ni kuuandaa ukuta katika kiwango cha namna yake ili unapopigwa rangi ung'ae kwa upendeze kwa namna ya pekee. Hii ndiyo kazi kubwa katika kazi za rangi. Hivyo tuna kuhudumia kulingana na uwezo wako. Tunafanya hata majaribio. Ukikubali unatupa kazi, kumbuka kukutembelea na kukushauri garama ni zetu. Tuite tukupambe
 
Mkuu asante kwa mchanganuo mzuri ila nimeachwa kidogo, umetaja bei ya rangi na garama ya kupaka! jee vitu hivi vinagharamiwa separate au kupaka kwa 20,000 ni pamoja na rangi! nataka tuu kuwa na uhakika na nilichoelewa!

kwa watu wa mikoani kama morogoro vipi!?
 
kunitembelea ni bure hata kama nipo Iringa au hapa gulioni Katelelo au ni Dar tu?

Mkuu una mambo weye! Katelelo ndo mdudu gani tena? Mizaha! Huduma ya kutembelewa ni Dar tu. Tuite tukupambe
 
Wakuu natafuta chumba cha ofisi maeneo ya temeke/chang'ombe,mwenge&kinondoni,mwananyamala,tabata/ninaweza kukipa chumba kuanzia50,000/=-70,000/=tu ndio uwezo wangu jamani naombeni msaada ktk hili....
Tusaidiane watanzania....
Nahitaji msaada mizaha pembeni

Mkuu hatushuguliki na vyumba.
 
Back
Top Bottom