Sasa chumba chako, ofisi, nyumba vyaweza kupambwa na rangi kwa manjonjo namna hii

Kwa wale wahitaji, tunatembelea eneo unalohitaji kazi ya rangi ifanyike.Tutakushauri kuhusiana na mahitaji yako, hulipii chochote, huduma hii ni kwa wakazi wa Dar pekee.

Kwa wakazi walio nje na Dar watalipia garama ya kwenda na kurudi na kulala pia kama ni mbali.
 
Wafurahishe watoto kwa kupaka rangi wanazo hitaji katika vyumba vyao. Ewe Dada, mama,baba,kaka. Tunapaka ranging chumba chako kulingana na vitu unavyopendelea kupamba ndani ya chumba chako. Karibu
 
Attachments

  • livingroom_72.jpg
    livingroom_72.jpg
    24 KB · Views: 113
Back
Top Bottom