Sasa chumba chako, ofisi, nyumba vyaweza kupambwa na rangi kwa manjonjo namna hii

Kwa wale wadau mnao uliza maswali kuhusu garama, ni kwamba huduma ya kukutembelea na kukushauri ni ni bule, yaani hulipii chochote, hii ni kwa wateja wa Dar es salaam tu.
 
Pia tunayo program inayo onesha rangi inayokupa mchanganyiko wa rangi unayoipenda.kwa wale wanaopenda kumechsha tunazo program zinzoonesha mwonekano wa ndani chumba,jiko,bafu na sebule.
 
Kwa namna ya pekee nawashukuru wadau wote walio tuamini na kutupa kazi kupitia tangazo hili, lakini pia ambao wametuahidi kazi vilevile kupitia tangazo hili.
 
kutana na program ya ajabu, ukipiga picha rangi yako, au ukuta uliopigwa rangi, program hii inaweza kutambua picha hiyo na kutoa jibu la jina la rangi husika. karibuni sana.
 
Kazo yenu ni nzuri sana siku nikipata mtu anahitaji nitakuja pitia hapa favourite
 
Sipendi nyumba yenye rangi nyingi kama gari la matangazo.......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…