Kwa wale wahitaji, tunatembelea eneo unalohitaji kazi ya rangi ifanyike.Tutakushauri kuhusiana na mahitaji yako, hulipii chochote, huduma hii ni kwa wakazi wa Dar pekee.
Kwa wakazi walio nje na Dar watalipia garama ya kwenda na kurudi na kulala pia kama ni mbali.