Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima.

Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge. Wabunge wengi hawatakuwa wasemaji wa wananchi bali watetea serikali kuu.
 
Muslim gear...nikiwaambia viongozi waislamu ni upumbavu kamili nchini mkavimbisha vijambio kwa kuninunia kuwa mimi ni mdini..😁
 
Hayo aliyaanza magufuli kwa kuwapitisha wabunge bila kupingwa.

Tukawapata wakina TALETALE na sasa watu wakaona kuwa ubunge ni kitu rahisi kwani watapita bila upinzani
 
John Magufuli is the founder.
 
Muslim gear...nikiwaambia viongozi waislamu ni upumbavu kamili nchini mkavimbisha vijambio kwa kuninunia kuwa mimi ni mdini..😁
Wagalatia kitu hata hakina mahusiano na uislamu hadi muingize udini kwa chuki zenu

Mama wa watu anakubali kuharibu dini yake kuja makanisani kwenu ila Bado tu vichwa ngumu mnamnanga ni mdini
 
Hayo aliyaanza magufuli kwa kuwapitisha wabunge bila kupingwa.

Tukawapata wakina TALETALE na sasa watu wakaona kuwa ubunge ni kitu rahisi kwani watapita bila upinzani
Tumia akili kama unayo
 
Back
Top Bottom