Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria wengi wanamajuto ya tarehe 29 kudanganywa jeshi lipo na wao kumbe hamna kitu kama mmekula hela za watu rudisheni Mimi sitoki na jirani zangu hawatoki kama Mali acha Samia na abduli wazimalize tu Mimi Sina bunduki kusema nitalinda rasilimali wenye bunduki wamekubali Mali ziiibiwe uku wanapewa visenti vidogo vidogo