Sasa hivi Kila mtu anamtegea mwenzi kuandamana na kumlaumu mwenzie

Sasa hivi Kila mtu anamtegea mwenzi kuandamana na kumlaumu mwenzie

Jana polisccm walipita na mikwara ya kufa mtu huku kwetu Tarime! Yaani wanapita na mafarasi mix magari wako ndani wakiwa heavy armed!! Sasa wanatutisha ili iweje? Watu wenyewe hakuna atakaeandamana siku ya leo!
 
Kile kichapo unakionaje? Walipanga mapinduzi ila hata kapteni Tesha aliingia mitini...Hawawezi kurudia tena.

List ni ndefu sana waliopanga mapinduzi ,mpaka wameshaanza kujitokeza leo kwenye sikuuu yao naona wanaendelea kuongea.
Umeliona lile cenge linalokomalia haki kuliko amani,hivi limenyimwa haki gani?
 
Jana polisccm walipita na mikwara ya kufa mtu huku kwetu Tarime! Yaani wanapita na mafarasi mix magari wako ndani wakiwa heavy armed!! Sasa wanatutisha ili iweje? Watu wenyewe hakuna atakaeandamana siku ya leo!
Vijana walikua hawajui serikali ni nini,sasa hivi akili kumkichwa
 
Mimi nipo hapa maeneo ya Mbezi Nina sime,jambia ,mkuki, mishale yenye sumu ya nyoka aina ya koboko na baadhi ya vilipuzi najiandaa mida ya saa nne nikiwashe.Hata kama nitaandamana peke yangu lazima nikiwashe Hadi ieleweke katika kuikomboa nchi yangu iliyoharibiwa na hawa wahuni
Vipi saa nne kuanzia Jana mpaka leo bado haijafika
 
Back
Top Bottom