Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nani amekulazimisha kuandamana??Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria wengi wanamajuto ya tarehe 29 kudanganywa jeshi lipo na wao kumbe hamna kitu kama mmekula hela za watu rudisheni Mimi sitoki na jirani zangu hawatoki kama Mali acha Samia na abduli wazimalize tu Mimi Sina bunduki kusema nitalinda rasilimali wenye bunduki wamekubali Mali ziiibiwe uku wanapewa visenti vidogo vidogo
Hujaitwa hapa kwenye huu uziNani amekulazimisha kuandamana??
Toka barabarani acha kelele hapaSheria ya kumiliki bunduki wanazo miliki wao zingekuwa uhuru wala wewe hapo usingekuwepo mtaani unavyo kebei.
Njoo south Africa alafu leta tabia yako ya CCM kesho tu unakuja kwenye cargo.
Umeulizwa wewe Chawa wa CCM ofisi ya abdulHujaitwa hapa kwenye huu uzi
Sasa si ungewatumia DM watu uliowakusudia au ubaki nao chumbani kwako.Hujaitwa hapa kwenye huu uzi
Shida umaku unakusumbua njoo south afrika watu wakutoe marinda na pesi wapo watanzania wengi ulete umamuku wako huku.Toka barabarani acha kelele hapa
Toka barabaran Leo ni D25 acha kupiga mkwara ukiwa umejifungia ndaniShida umaku unakusumbua njoo south afrika watu wakutoe marinda na pesi wapo watanzania wengi ulete umamuku wako huku.
Toka barabarani Leo ni D25 naona umejifungia ndaniSasa si ungewatumia DM watu uliowakusudia au ubaki nao chumbani kwako.
Unamatatizo ya akili 🤣🤣🤣Umeulizwa wewe Chawa wa CCM ofisi ya abdul
Kaa kwa kutulia kimbelembele kingiiiKumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria wengi wanamajuto ya tarehe 29 kudanganywa jeshi lipo na wao kumbe hamna kitu kama mmekula hela za watu rudisheni Mimi sitoki na jirani zangu hawatoki kama Mali acha Samia na abduli wazimalize tu Mimi Sina bunduki kusema nitalinda rasilimali wenye bunduki wamekubali Mali ziiibiwe uku wanapewa visenti vidogo vidogo
Bado muda.Kuanzia saa nne tunaanza mchakamchaka kuelekea IKULU kumtoa diktetaKile kichapo unakionaje? Walipanga mapinduzi ila hata kapteni Tesha aliingia mitini...Hawawezi kurudia tena.
List ni ndefu sana waliopanga mapinduzi ,mpaka wameshaanza kujitokeza leo kwenye sikuuu yao naona wanaendelea kuongea.
Hamna ubavu huo ,waacheni wakristo wafanye sikukuu yao ..Huu uthenge wenu msiharibu sherehe za wangu mambwa nyie.Bado muda.Kuanzia saa nne tunaanza mchakamchaka kuelekea IKULU kumtoa dikteta
Vitabu vitakatifu vidhibisha kwamba Mungu hakukamilisha kuumba kwa siku moja, lakini bado vinasema akamuumba binadamu kwa mfano wake.Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria wengi wanamajuto ya tarehe 29 kudanganywa jeshi lipo na wao kumbe hamna kitu kama mmekula hela za watu rudisheni Mimi sitoki na jirani zangu hawatoki kama Mali acha Samia na abduli wazimalize tu Mimi Sina bunduki kusema nitalinda rasilimali wenye bunduki wamekubali Mali ziiibiwe uku wanapewa visenti vidogo vidogo