Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Nafasi ya namba 10 haipo tena kwenye mpira wa sasa, kila kocha anacheza 4-4-2 au 4-3-3 ilikua kila mtoto anatamani kucheza namba 10 lakini kwenye mpira wa sasa nafasi hiyo haipo tena, hakuna kocha anaetumia playmaker tena, kwa Sasa wanahitaji mpira wa kasi na ubora wa mchezaji kwenye one-on-one.
Kwa Sasa wale waliokua wanacheza namba10 wamekua ni winger au Box to box midfielders, mpira wa Sasa ni mbinu na nguvu sana huku kukiwa hakuna nafasi ya namba 10.
Tutawakumbuka sana kina James Rodriguez hasa wakiwa kwenye ubora wao as no 10, hatutamsahau James Rodriguez wa Worldcup 2014.
kwa Sasa anamiaka 34 kacheza michezo 543 kafunga magoli 146 na Assists 172.