Maisha yanaenda kwa namba au hesabu .
Mwanamke anabidi kujua consistency ndo silaha yake kubwa linapokuja swala la mahusiano maaana umri wake upo calculated kuanzia kuolewa ,kuzaa, na kuwa na stable family
Hivyo mwanamke anapokuwa na mentality kuwa nahitaji kuchuma kitu kwa mwanaume that is too worst to her.
Maana ukiwa MTU wa kuchuma bila kupanda mazao yako huwezi kuwa na consistency na Kama hauna consistency means kuna MUDA utakwama TU.
Hit run ina faida chache Ila hasara kubwa kwa mwanmke .
So maisha ni hesabu , mwanamke anachobidi kufanya ni kuwekeza kwa mwanaume katika kumjenga mwanaume na baadae atajipata kirahisi.
Unfortunately wan awake wakibongo most of them , hawana knowledge and skills za kuishi maisha yenye positivity that is way most of them they end up being broke,depressed,single mothers ,prostitute and etc.
Umri sahihi wa kuolewa mwanamke na kuazisha FAMILIA ni kati ya miaka 18 mpk 22 umechelewa sana kwa 7bu za kimasomo basi 25 na hapo tayari ukiwa umeshamtengeneza mume wako tangu ukiwa Age 20 hii ni kwa sababu MUME sahihi kwako lazima awe amekupita kati ya miaka 5 mpk 10(best zaidi 10 kuendela)
Hii itawasaidia wote kudance Tune aina moja so misukosuko mingi ya NDOA mtapambana nayo
Kutokana na ukomavu wa AKILI ya mwanaume
Na mabadiliko ya kimwili kifikra ya mwanamke
7bu 90% wanawake wakishazaa akili HUPEVUKA zaidi sasa ukiwa umezaa katika NDOA na mume akawa anakurutubisha na MANII zake lazima uwe MKE BORA na MAMA BORA kwa watoto wako
Ulichoeleza ni sahihi wasichana wengi wa KIBONGO wakiwa katika age20 amabapo ndio umri sahihi wa kujenga ama kuandaa familia wao huwa busy na mambo ya kijinga katika mahusiano wakija shtuka umri ushaenda na karika halakati zake zote hakuwahi kufanya chochote chenye tija 7bu wanaune bora wote aliwapoteza nyuma
Hivyo uishia hivi kama ulivyosema
broke,depressed,single mothers ,prostitute nk
Na wakiwa na hali hiyo badi wakiwa mtandaoni wanajifanya hawana shida na NDOA maneno ya kujiona wao ndo wao hata humu JF wapo wengi sana ila sasa ubahatike kupata kujua maisha yao halisi hakika wanapata tabu sana wanajipongeza ujasili nyuma ya KEYBOAD tu ila wengi ni broke wa kutupwa na wadangaji wakubwa
Kama kuna mmoja humu JF aliwahi kuumbuliwa alimuwa anaishi morogolo sijui huko alikuwa anajifanya ni mpambanaji sana kumbe ni mdangaji mkubwa na SINGLE MOTHER tena wale wadangaji wa low Level kabisa