Maisha yanaenda kwa namba au hesabu .
Mwanamke anabidi kujua consistency ndo silaha yake kubwa linapokuja swala la mahusiano maaana umri wake upo calculated kuanzia kuolewa ,kuzaa, na kuwa na stable family
Hivyo mwanamke anapokuwa na mentality kuwa nahitaji kuchuma kitu kwa mwanaume that is too worst to her.
Maana ukiwa MTU wa kuchuma bila kupanda mazao yako huwezi kuwa na consistency na Kama hauna consistency means kuna MUDA utakwama TU.
Hit run ina faida chache Ila hasara kubwa kwa mwanmke .
So maisha ni hesabu , mwanamke anachobidi kufanya ni kuwekeza kwa mwanaume katika kumjenga mwanaume na baadae atajipata kirahisi.
Unfortunately wan awake wakibongo most of them , hawana knowledge and skills za kuishi maisha yenye positivity that is way most of them they end up being broke,depressed,single mothers ,prostitute and etc.